OFISA Mwandamizi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Carol Makundi amesema Watanzania wengi wamekuwa wakihofia kutumia umeme kama nishati ya kupikia kwa kudhani kuwa gharama zake ni kubwa, huku ...
Licha ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuwapiga marufuku wafanyabiashara wa chakula wakiwamo mama na babalishe kutumia ...
Vilevile yanaweza kuwa malengo ya jinsi ya kujiandaa kwa gharama za elimu au pensheni. Hatua ya tatu, unatakiwa kutengeneza bajeti inayolingana na malengo yako; hii ni hatua muhimu katika kufanikisha ...
Bajeti itakusaidia katika mwelekeo wa matumizi ya pesa zako na jinsi zinapaswa kutumika. Pia inakuambia ni kiasi gani cha pesa ulicho nacho cha kutumia kila mwezi na pale ambapo unahitaji ...
Uamuzi wa BBI unaosubiriwa kwa hamu unatarajiwa kutolewa hii leo katika mahakama ya rufaa Katika mawasiliano kwa pande husika, mahakama hiyo inasema uamuzi huo utasomwa na majaji saba. Hatahivyo ...