Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Kulingana na vigezo vya majadiliano ya Urusi na Marekani kuhusu Ukraine, na jinsi Putin atajihisi kuwa na nguvu kutokana nayo, kuna hofu ya Ulaya kwamba hili linaweza kubadilisha ufanisi wa ...
Zingatia kutunza na kutengeneza Nywele ziwe za tofauti na ulivyozoea kuweka ili iweze kuweka staili tofauti na kwenye ubora unaotakiwa.Kwanza kabisa unatakiwa kutunza Nywele zako kwa kuosha na ...
Dk Kristomus anabainisha kuwa mara nyingine mabadiliko hayo hutokana na wao wenyewe kuchagua ni masuala yapi ya kuyasimamia na jinsi ya kuzungumza wanapokuwa na viongozi wa Serikali. “Ni kama vile ...
Dar es Salaam. Miongoni mwa watu wanaopata wakati mgumu kuacha uraibu ni pamoja na wavutaji wa sigara na shisha. Wavutaji maarufu wa sigara duniani wamewahi kukiri kuwa, wasingethubutu kujiingiza ...
Mkutano huo umewakutanisha Mawaziri wa Nishati, Viongozi wa Taasisi za Kimataifa za Kifedha, Wataalam na Wadau wa Mashirika ya Kiraia ambao watapata fursa ya kujadili na kukubaliana malengo, ...