WODI ya wazazi katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Temeke, Dar es Salaam, wamepokea msaada wa vitu mbalimbali, kwa wodi ...
Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.
Moshi. Chama cha Sauti ya Umma (Sau) kimekamilisha uchaguzi wake katika Mkoa wa Kilimanjaro kikimchagua Isack Kireti kuwa mwenyekiti wa mkoa huo, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
LONDON, ENGLAND: ARSENAL itakuwa na mwonekano mpya kabisa kwenye kikosi chao cha kwanza msimu ujao endapo kama kocha Mikel Arteta atawapata wachezaji anaowataka dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Albamu mpya ya Diamond inatarajiwa kutoka baada ya miaka saba, ndiyo sababu tunasema amechelewa ukilinganisha na wale ambao mashabiki wake wamekuwa wakiwaona kama washindani wake kwa hapa Afrika.
Mkurugenzi mpya wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), Kash Patel ameelezea undani wa asili yake kuwa ni Afrika Mashariki, huku akitaja sababu ya familia yake kuhamia Marekani. Patel aliyezaliwa ...
Msemaji wa Vuguvugu la M23, Lawrence Kanyuka, amekanusha madai ya Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) kwamba kulikuwa na mapigano wakati wa utwaliwaji wa Mji wa ...
Katika taarifa ya TANESCO iliyotolewa leo February 19,2025 imesema hatua hiyo ni muhimu kwa Shirika kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wake kufuatia ongezeko la mahitaji ya matumizi ya umeme katika ...
Youssef alishinda pia raundi ya sita kwa kupata kura 26 dhidi ya 22, na hivyo Odinga kulazimika kujitoa na kuacha Youssouf apigiwe kura, ambapo alifanikiwa kufikisha 2/3 na kutangazwa kua mshindi na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果