Wanasayansi wanajaribu kuunda aina mpya ya mkate wenye afya. Mradi huo umefadhiliwa na serikali ili kuboresha manufaa ya kiafya ya chakula hicho cha Uingereza. Watafiti wanapanga kuongeza kiasi ...