RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na ...
Amesema Sawadogo. Mratibu wa Utalii wa Matibabu wa Wizara ya Afya, Asha Mahita, Tanzania imekuwa ikifanya vizuri kwenye masuala ya Afya, hivyo kutokana na changamoto walizonazo nchini kwao wamekuja ...
Staa huyu anayewinda na vigogo wengi barani Ulaya anahusudiwa sana na kocha wa Arsenal, Mikel Arteta ambaye anaamini akisajiliwa ataenda kuboresha zaidi eneo lao la ushambuliaji linalokuwa katika ...
Hatua hiyo ilisaidia kuboresha maisha ya wengi, japo kulikuwa na changamoto kadhaa kama vile uelewa mdogo, upatikanaji wa dawa ulikuwa mgumu maeneo ya vijijini, unyanyapaa, rasilimali fedha kuwa ...
DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema tangu mwaka 2021 serikali imetekeleza hatua mbalimbali kuboresha afya ya uzazi, afya ya mama na watoto wachanga pamoja na lishe. Kiongozi huyo wa nchi ...
Lula alisema angetaka kuboresha uhusiano wa kibiashara na Marekani, ambayo ni mshirika wa pili kwa ukubwa kibiashara wa Brazil baada ya China. Amesema anataka kuiheshimu Marekani na Trump ...
Mabingwa hao watetezi wa Hispania wanaripotiwa kuwa na uhitaji wa kuboresha safu yao ya ulinzi inayoandamwa na majeruhi baada ya Eder Militao na David Alaba kuumia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka tovuti ...
Naye Raheli Moiso amesema, "ukatikaji wa umeme umekuwa ni changamoto hapo kipindi cha nyuma, lakini tatizo hilo tumeona limepungua kwa sasa, tunahitaji waendelee kuboresha upatikanaji wa huduma na ...
Kwa jumla, ukanda huo unatarajiwa kuboresha maisha ya watu milioni 31. Huko Davos, wafadhili kadhaa wa kimataifa wamethibitisha tena msaada wao. Kamishna wa Ulaya wa Ushirikiano wa Kimataifa ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO hufanya kazi kwenye mstari wa mbele wa masuala ya afya katika zaidi ya maeneo nan chi 150 na limefanikiwa kufikia hatua nyingi muhimu za afya ya umma, ...
Tanzania iko wazi kwa biashara.” Katika mkutano huo, Mkuu wa WHO amepongeza serikali ya Tanzania kwa juhudi za kuboresha huduma za afya kwa wananchi. "Tunatambua uwekezaji mkubwa uliofanywa katika ...