资讯

Mwanza. Bei ya kuku jijini Mwanza imepanda kutoka Sh20,000 hadi Sh55,000 kulingana na ukubwa. Uchunguzi wa Mwananchi katika soko la Buhongwa, Mkuyuni wilayani Nyamagana na soko la Mbogamboga lililopo ...