资讯

ZIMEBAKI hatua chache kumfahamu bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu sambamba na zile timu zitakazoshuka daraja. Wakati hayo yakisubiriwa kwa hamu hivi sasa ligi hiyo imegawanyika vipande vitatu.
Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote ...
Lindi. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa wataalamu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), waliokwamisha kwa uzembe urejeshaji wa mawasiliano katika ...
LONDON, ENGLAND: LIGI Kuu England inaelekea ukingoni, ikiwa imebakiza miezi michache kufika tamati na sasa mipango ya makocha imeshaanza kuelekezwa kwenye usajili wa mastaa wapya kwa ajili ya msimu ...
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ...
Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki wamekusanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican kumuaga Baba Mtakatifu Francisko. Arsenal wako katika hatua ya juu katika mazungumzo ya ...