资讯

Baada ya ushindi mnono wa mabao matatu kwa mawili walioupata Real Madrid dhidi ya Leganes jana, wachezazi wa timu hiyo wameonekana kuamkia katika mazoezi makali mapema leo wakijiandaa kwa mechi ya ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekutana na viongozi wakuu wa kampuni za kandarasi kutoka China zinazosimamia miradi ya ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT), madaraja pamoja na ...
Hii ni mara ya nne kwa Rais wa Ufaransa kuzuru nchi hii ya kimkakati katika eneo hilo tangu uchaguzi wake wa kwanza mwaka wa 2017. Na wakati huu, suala moja litatawala: kusitishwa kwa mapigano ...
Cambodia imefanya hafla ya kuashiria kukamilika kwa vituo vipya katika kambi ya wanamaji ambayo ilijengwa kwa msaada wa kifedha kutoka China. Hafla ya kufunguliwa ilifanyika jana Jumamosi katika ...
Mti mkubwa wa mcheri, unaoaminika kuwa na umri wa miaka 1,000, umechanua kwa ukamilifu katika mji wa Maniwa, mkoani Okayama magharibi mwa Japani. Mti huo wa mcheri wa Daigo-zakura una urefu wa ...
Ni katika makundi hayo wanasiasa wanapitia mashambulizi ya kihisia na matusi kwa kukosekana udhibiti wa maudhui, jambo ambalo huwapa baadhi ya wana-kundi uhuru wa kutoa lugha za matusi, kejeli na ...
EID EL -FITRI ni mojawapo ya sikukuu muhimu kwa Waislamu kote duniani. Huadhimishwa kila mwaka baada ya kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, kipindi ambacho Waislamu hufunga kwa siku 29 au 30 ...
Ingawa madini yanaweza kuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa serikali na wawekezaji, utegemezi wake kupita kiasi huleta hatari ya kuyumbisha uchumi wa taifa. Soko la madini linakabiliwa na mabadiliko ...
VITA mpya kwa Simba na Yanga ni namna zinavyopambana kuonyeshana jeuri ya fedha, kumshawishi kiungo wa Azam Feisal Salum ‘Fei toto’, zikimtengea mamilioni ya kufuru kwa ofa tofauti, pia ipo klabu ...
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba ...
Rai wa Ufaransa Emmanuel Macron atampokea mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya Élysée siku ya Jumatano jioni, Machi 25, ili "kutayarisha" mkutano wa kilele wa nchi za ...
Ni miaka thelathini tangu Mkutano wa Beijing ulipofanyika jijini Beijing, China na kupitisha lililofahamika kama Azimio la Beijing lengo kuu likiwa kuleta usawa wa kijinsia kwa kuwainua wanawake ...