Hatua ya Arsenal ya kutolewa katika raundi ya tatu ya Kombe la FA dhidi ya Manchester United kwa mikwaju ya penalti, ilikuwa ni mwendelezo wa kichapo, baada ya kufungwa mabao 2-0 nyumbani na ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonesha wasiwasi mkubwa kuhusu athari za kusitishwa kwa ufadhili wa mara moja kwa programu za HIV katika nchi za kipato cha chini na cha kati. Programu hizi hutoa ...
Geita. “Hakuna zaidi ya uzembe, kilichofanyika ni uzembe.” Hii ni kauli ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita, Azza Mtaita aliyoitoa akielezea mkwamo wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Isabageni ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Imeelezwa katika taarifa ya polisi kuwa watoto hao wamepatikana wakiwa kwa mganga wa kienyeji Kimara Baruti, jijini Dar es Salaam. Watoto hao, wakazi wa Tandika, jijini Dar es Salaam, ni Husna Gulam ...