Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa yamevujishwa hapo awali. Awamu ya kwanza ni usitishaji mapigano wa wiki sita.
Imeelezwa katika taarifa ya polisi kuwa watoto hao wamepatikana wakiwa kwa mganga wa kienyeji Kimara Baruti, jijini Dar es Salaam. Watoto hao, wakazi wa Tandika, jijini Dar es Salaam, ni Husna Gulam ...
Yanga iliingia katika mchezo huo ikiwa na kumbukumbu mbaya dhidi ya Al Hilal baada ya kushuhudia mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi 'A', kuchapwa mabao 2-0, jijini Dar es Salaam Novemba 26, mwaka ...