Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alirejeshwa gerezani baada ya kulazwa katika hospitali moja mjini Kampala kwa muda mfupi alipougua kutokana na hatua yake ya kususia kula chakula.
Mji wa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umekuwa tena kitovu cha mzozo wa kikanda uliodumu kwa miongo kadhaa. Mapigano kati ya kundi lenye silaha linalojulikana kwa jina la ...
Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Sheffield, Uingereza na wenzao kutoka Chuo Kikuu cha COMSATS nchini Pakistan, ndio waliogundua mafuta hayo. Kwa mujibu wa utafiti huo, mafuta yenye sukari ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Mwanaume mmoja raia wa Iraq aliyefanya matukio kadhaa ya kukichoma moto hadharani kitabu kitukufu kwa Waislamu, Quran, nchini Sweden amepigwa risasi na kuuawa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo ...
Serikali pia haijatoa msaada na mazingira bora yanayohitajika kwa wasichana wajawazito au wamama vijana ili wabaki shuleni na kuendelea na masomo. “Kuondolewa kwa marufuku ya kibaguzi na yenye ...
Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lililokutana leo baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho, limemthibitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama. Jana, CHADEMA ...
Banduka atakumbukwa kwa kushiriki kuanzisha CCM, ambayo sasa imetimiza miaka 48. Ni miongoni mwa wale waliovunja rasmi vyama vya Tanu na ASP ili kuunda CCM. Kwa mujibu wa Msekwa, tendo la kuvunjwa kwa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果