Athari hizo zinatokana na Marekani kuwa mchangiaji mkubwa wa kifedha wa WHO na programu mbali mbali zilizopo chini ya shirika hilo na taasisi nyingine kubwa za kiafya duniani. Siku ya Jumanne juma ...