Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2024 zilizokuwa zifanyike Tanzania, Kenya na Uganda kuanzia Februari Mosi ...