SERIKALI imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ikiwemo upande wa miundombinu ya uangazi wa hali ya hewa pamoja na kuwajengea uwezo wafanyakazi wake. Kauli hiyo ...
MWANZONI mwa miaka ya 1970, kulikuwa na wimbo mmoja uliokuwa unasikika kwenye redio ulioshangaza watoto wengi wa wakati huo. Natumai wakubwa hawakushangaa, lakini watoto wengi walionyesha kushangaa, k ...
Rais wa Marekani Donald Trump jana Alhamisi alitoa hotuba kwa njia mtandao kwa Kongamano la Uchumi Duniani jijini Davos ... wake wa kusababisha madhara ni mkubwa mno kiasi kwamba anaubaini kuwa ...
Leo hii tunakabiliwa na matishio mawili makubwa ambayo yanahitaji kupewa uziti Mkubwa wa kimataifa na hatua kwa sababu ... Guterres amelinganisha uraibu wa dunia kwa nishati ya mafuta na mnyama wa ...
Lakini sasa ninaweza kulima mwenyewe shambani, na ninaweza kujihudumia mimi na pia familia yangu. Zamani niliacha shule. Lakini baada ya kuanza mradi huu, nimerejea shuleni na ninataka kuwa mhasibu ...
2.Neymar - Pauni 1.7 milioni kwa wiki; Supastaa wa Kibrazili, Neymar ndiye mchezaji anayeshika namba mbili kwa kulipwa mshahara mkubwa duniani, akipokea Pauni 1.7 milioni kwa wiki kwa huduma anayotoa ...
Mkoa wa Kivu Kusini una utajiri mkubwa wa dhahabu, eneo ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na uchimbaji wa madini, huku baadhi ya migodi ikidhibitiwa na makundi ya waasi yenye kushirikiana na ...
WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.
Mnamo mwaka 2020, Joe Biden alifanya kampeni juu ya uzoefu wake wa muda mrefu katika sera ya kigeni, akiwa amehudumu kama seneta na makamu wa rais kabla ya kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani. Leo ...
aina ya mnyama mkubwa wa baharini. Morocco ni nchi ya pili duniani kwa uzalishaji wa phosphate, ikiwa na amana nyingi. Lakini sehemu hizi za uchimbaji madini pia ni eneo la kipekee kwa ...
SIMBA Ubaya Ubwela. Wekundu hao wa Msimbazi wameandika historia nyingine kwa kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF ikiwa ni mara ya sita katika misimu saba iliyoshiriki michuano hiyo tangu 2018-2019 ...
Dar/Mikoani. Wakati shule za msingi na sekondari nchini zikifunguliwa kwa muitikio mkubwa, baadhi ya wazazi na walezi wameeleza changamoto za kiuchumi zinazoathiri ununuzi wa vifaa vya shule, huku ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果