Wakati huo wewe ukienda kazini unakutana na kina Shanteel, wanawake wanaochukia kuzeeka; ukiwatazama hivi ni kama kivutio cha utalii. Sasa ukilinganisha haya unayoyaona nje na mkeo ni pilau na mlenda, ...
Kwa mfano akipenyeza kwenye sherehe atajitahidi kumaliza sinia zima la pilau peke yake. Kama vinywaji ni vya kujihudumia ataokotwa hapo ... nchi saba za Afrika stahiki zao katika mkataba wa AGOA kwa ...