MWIMBAJI nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya 'AY', amesema hana mpango wa kuingia kwenye siasa licha ya kuonekana yupo karibu na Wana siasa.