资讯

Dodoma. Utitiri wa mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi nchini ambayo mingine haijulikani kwa wananchi, umewaibua wabunge wakitaka iundwe tume ama mamlaka ya kusimamia suala hilo. Wabunge wameyasema ...
Watoto wanashiriki kivyao kwenye matukio hayo. Wanafanya mazungumzo darasani juu ya kile wanachotaka kuonyesha, ratiba na mipango mingine. Mawasilisho yanafanywa kwa njia mbalimbali, kama vile ...
Ubora wa ligi hiyo unatokana na uwezo wa wachezaji wanaocheza pamoja na ushindani wa timu shiriki ambao umefanya kutoka mikoa mingine na nje ya nchi ili kuja kucheza mashindano hayo. Baadhi ya ...
Maluki ana imani kuwa uwakilishaji wa Kenya kwenye Olimpiki utajumuisha michezo mingine mingi bali si riadha tu kwa miaka inayokuja. Alisisitiza nia yake kubwa ya kufanya kazi na mashirikisho ...
Amesema walichoombwa wao pamoja na migodi mingine ni taarifa kuhusu utendaji kazi wao, kuonyesha wamevuna kiasi gani au hawakuvuna na shughuli nyingine, ambapo hiyo haizuii wao kuendelea na uchimbaji, ...
Maelfu ya watu walijitokeza katika miji ya Boston, Chicago, Los Angeles, New York na Washington DC, miongoni mwa miji mingine, siku ya Jumamosi. Waandamanaji walitaja malalamiko dhidi ya ajenda ya ...
Shirika la kutoa misaada ya kutegeua mabomu yaliyotegwa ardhini lenye makao nchini Ubelgiji, liitwalo APOPO, linasema panya huyo kutoka bara la Afrika, Tanzania, anaweza kuendelea na jukumu hilo la ...
Mbali na jengo hilo, Rais Samia pia amezindua miradi mingine miwili ya mahakama ikiwemo jengo la utumishi wa mahakama pamoja na nyumba 48 za makazi ya majaji – hatua inayolenga kuboresha ustawi wa ...
Alitaja mingine ni jengo hilo na jengo la Tume ya Utumishi wa Mahakama. Kwa mujibu Profesa Ole Gabriel majengo hayo yamegharimu Sh bilioni 416.46. Profesa Ole Gabriel ameishukuru serikali kutokana na ...
Amesema hii leo Machi 31 ndio wamekuta miili mingine akisema, “Leo, katika siku ya kwanza ya sikukuu ya Eid, tumerejea na kufukua miili iliyozikwa ya wafanyakazi 8 wa PRCS, 6 wa Ulinzi wa Raia, na 1 ...
India, China na Thailand ni miongoni mwa mataifa jirani na Myanmar yaliopeleka waokoaji pamoja na misaada mingine. Marekani imeahidi dola milioni mbili za msaada huku Umoja wa Ulaya ukisema unatoa ...
Wajumbe hao wote wanatumikia nafasi zao kwa miaka tano na wanaweza kuteuliwa kwa miaka mingine mitano. Kwa maana hiyo, chombo hicho kipo kisheria na vyama vinatakiwa viridhie masuala yao kupelekwa SDT ...