资讯

MKUU wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka (kulia) akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye makabidhiano eneo la Ruaha kutoka wa mwezake wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya kuanza mbio zake ...
WANANCHI wa Kijiji na Kata ya Mangae Tarafa ya Mlali, wilayani Mvomero, wameanza kunufaika na mradi wa maji uliojengwa na Wakala wa Usambazaji Maji Vijijini (RUWASA), wenye thamani ya zaidi ya ...
Haiti, taifa la Karibea lenye watu wa asili ya Afrika lililotawaliwa na Ufaransa Miaka 200 iliyopita watumwa wakafanya mapinduzi kudai uhuru kutoka Ufaransa. Sharti likawa wailipe Ufaransa fidia ya ...
Katika Kongamano la Kudumu la Umoja wa Mataifa la Watu Wenye Asili ya Afrika (PFPAD) la mwaka jana huko Geneva, muungano wa mashirika ya kiraia wa Haiti ulisema Ufaransa inapaswa kulipa mabilioni ...
Tangu kuondolewa kwa Rigathi Gachagua kutoka wadhifa wa Naibu Rais wa Kenya mwezi Oktoba 2024, mvutano wa kisiasa baina yake na Rais William Ruto umeendelea kushika kasi, ukichukua sura ya maneno ...
Pia, aliwataka wale wanaohamasisha vurugu ndani ya taifa kuacha akisema taifa la Tanzania limepata uhuru bila vurugu hivyo nchi haiihitaji kumwaga damu ya kizazi cha sasa kwa sababu za kisiasa. Aidha, ...
Guterres alisisitiza uungwaji mkono wa Umoja wa Mataifa kwa "juhudi za maana kuelekea amani ya haki, ya kudumu na ya kina ambayo inasimamia kikamilifu uhuru wa Ukraine, kama taifa". Shambulio la ...
Dar es Salaam. Sauti ya Shaka Ssali (71), aliyekuwa mtangazaji maarufu wa Kituo cha Televisheni cha Sauti ya Marekani (VOA), ambaye amefariki dunia nchini Marekani, itaendelea kuishi katika kumbukumbu ...
Rais Kiwete ameyasema hay oleo Alhamisi Aprili 10, 2025 katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika shule ya amali inayojengwa katika kijiji cha Msoga, mkoani Pwani na kiongozi wa Mbio za Mwenge ...
Winga wa zamani wa Simba, Uhuru Selemani alisema kuwa ubora wa kikosi kizima cha Simba unaifanya iwe na nafasi nzuri ya kuitoa Stellenbosch na sio hao wanne pekee. “Hao wanne ni mfano tu wa namna ...