资讯
Licha ya kuzuiwa kufanya biashara ndani ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (Udart), wafanyabiashara ndogondogo maarufu ...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dk.Festo Dugange, amesema serikali imetumia Shilingi bilioni 107 kujenga vituo vya afya 367 nchini kati ya mwaka wa fedha 2020/21 hadi 2024/25. Akijibu swali ...
Ingawa kuharibika mara kwa mara kwa miundombinu ya barabara kunachochewa na sababu nyingi, kukosekana udhibiti wa malori ya ...
Watoto nchini Sudan Kusini wanakufa kutokana na ugonjwa wa Kipindupindu wakati huu pia wakitembea umbali mrefu kuvifikia vituo vya afya ambavyo hata hivyo vimefungwa baada ya Marekani kusitisha ...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amesema serikali inaendelea na tathmini ya kubaini vituo vya polisi vilivyochakaa nchini, ikiwa ni pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya ukarabati ...
Tangu mwanzo wa mwaka, angalau watoto tisa walio chini ya umri wa miaka mitano wameripotiwa kufariki dunia kutokana na upungufu wa damu unaohusiana na utapiamlo katika vituo vya mpito vya kupokea ...
Al-Burhan ameongeza kusema kwamba hakutakuwepo na uwezekano wowote wa maridhiano na vikosi vya RSF, na kuapa kwamba jeshi la Sudan litavisambaratisha kabisa vikosi hivyo vya wanamgambo.
Amesema mbali na msaada wa vyakula rais Samia alitoa vifaa mbalimbali kwa lengo la kuwaendeleza watoto na kuimarisha huduma katika makao ya watoto, vikiwemo vifaa vya shule, majiko, mashine za kufulia ...
Programu ya usaidizi kwa wateja inabadilika haraka kutokana na AI. Zana zilizo kwenye orodha hii huchanganya uwezo wa kawaida wa dawati la usaidizi (kama vile tikiti, misingi ya maarifa, na usaidizi ...
Kwa hiyo baada ya kumuhudumia mzazi, huduma zake nyingine alikuwa anazipata nje.” Vituo mbalimbali vya afya vimenufaika na maji hay ana zaidi ya watu milioni moja wananuafaika. Hata kwa wahudumu wa ...
Vita hivyo vya kuwania mamlaka ya kudhibiti nchi vimeitumbukiza Sudan katika janga kubwa zaidi la kibinadamu na watu kuhama makazi. Pamoja na hali mbaya ya kibinadamu na njaa, mapigano ...
MSF inasema vituo vya afya vimekuwa vikilengwa na kwamba vitisho toka kwa makundi yenye silaha vimesabahisha baadhi ya hospitali kusitisha huduma na kuwahamisha wagonjwa. Soma zaidi mada inayofanana: ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果