Wakati wapiganaji wa M23 wakiendelea kujitanua Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Serikali ya Uingereza ...
Kainerugaba ameonekana kuwa akimuunga mkono hadharani Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye amekanusha madai kwamba wanajeshi wa Rwanda wanapigana pamoja na M23. Mnamo 2022, Kainerugaba aliitaja M23 kama ...