Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo ...
OFISA Utumishi Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Nicodemus Tindwa, amesema mchakato wa kuligawa Jiji hilo kuwa majimbo mawili ya ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema serikali itaunda ...
China's top legislature, concluded its third session Tuesday. Chinese President Xi Jinping and other leaders including Li ...
A group of 18 low Earth orbit satellites was launched aboard the Long March-8 Y6 carrier rocket from the Hainan commercial ...
MAADHIMISHO ya Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi yanatarajia kufanyika kitaifa katika mkoa wa Singida mwaka ...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amewataka vijana wanaopata mafunzo ya ufundi katika vyuo vya VETA kutumia vyema ujuzi wao, akisisitiza kuwa ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya shilingi 30,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkesha mkubwa wa kuliombea Taifa, utakaofanyika Ijumaa hii, Machi 14, 2025, katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Lengo la mkesha huo ni kuli ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga leo Machi 12, 2025 amezindua namba mpya ya huduma kwa wateja (mchongo 180) itakayotumiwa na wateja bure bila malipo ili ...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, ameendelea na ziara yake ya kata kwa kata ndani ya wilaya hiyo, akifanya ukaguzi ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kila nyumba ya Mtanzania, iwe mijini au vijijini, inakuwa na umeme kwa gharama nafuu ili kuboresha maisha ya wan ...